Beki wa kati wa liverpool na tiu ya taifa ya Iviry Coast amesema kwamba Barcelona ilifanya uwamuzi usiostahili kumuuza mdogo wake Yaya Toure.
Beki huyo anaamini kwamba Yaya ni bora kuliko Busquets na wamefanya kosa ambalo hawatokuja kulifanya tena.
Mkongwe huyo ameendelea kusema kwamba Yaya ni kiungo bora kwa sasa duniani na huwezi kumlinganisha na Busquets kwa sasa na hilo linathibitika sasa kwani Yaya ndio tegemezi katika kikosi cha Man city kwa sasa..
Kolo toure kwa sasa yupo na timu ya liverpool na aafanya vizuri katika kikosi hicho kinachosshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ya England.
No comments:
Post a Comment