Mshambuliaji hatari wa Manchester united Wyne Rooney amewatishia washabiki wa Arsenal na kusema kwamba wanamuogopa sana ili asije akaleta madhara katika mechi yao dhidi ya United.
Mshambuliaji huyo mwenye historia nzuri na mchezo huwo ambao mashabiki wengi duniani wanausubiria kwa hamu, ambapo amekuwa akifunga maranyingi kila wanapokutana na ndipo nyota huyo mwenye miaka 28 kusema kwamba Arsenal wanamuogopa yeye.
Wakati huohuo timu ya Man United itamkosa mshambuliaji wake Danny Welberck katika mchezo huwo kwa kuwa bado hajapona majeraha yanayo msumbua.
No comments:
Post a Comment