Zlatan
Ibrahimović amejiunga na listi ya wachezaji waliocheza mechi 100 au
zaidi ya UEFA Champions League baada ya kuweza kuicheza timu yake ya
Paris Saint-Germain katika mchezo wa kundi C game dhidi ya Olympiacos FC
– na hivyo kuwa mchezaji wa 18 kufikisha idadi hiyo ya mechi.
Mshambuliaji huyo wa
kisweden amevichezea vilabu sita barani ulaya katika michuano hii,
akianzia AFC Ajax, halafu Juventus, FC Internazionale Milano, FC
Barcelona na AC Milan kabla ya kujiunga na PSG MSIMU ULIOPITA. Pia
Zlatan ameweza kufunga jumla ya mabao 39 katika michuano hii.
LISTI YA WACHEZAJI WALIOCHEZA MECHI NYINGI ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE (MAKUNDI MPAKA FINALI)142 Raúl González (Real Madrid CF, FC Schalke 04)
138 Ryan Giggs (Manchester United FC)
136 Xavi Hernández (FC Barcelona)
131 Iker Casillas (Real Madrid CF)
125 Clarence Seedorf (AFC Ajax, Real Madrid CF, AC Milan)
124 Paul Scholes (Manchester United FC)
120 Roberto Carlos (Real Madrid CF, Fenerbahçe SK)
115 Carles Puyol (FC Barcelona)
112 Thierry Henry (AS Monaco FC, Arsenal FC, FC Barcelona)
109 Paolo Maldini (AC Milan)
109 Gary Neville (Manchester United FC)
107 David Beckham (Manchester United FC, Real Madrid CF, AC Milan, Paris Saint-Germain)
104 Víctor Valdés (FC Barcelona)
103 Oliver Kahn (FC Bayern München)
103 Luís Figo (FC Barcelona, Real Madrid CF, FC Internazionale Milano)
102 Ashley Cole (Arsenal FC, Chelsea FC)
100 Andriy Shevchenko (FC Dynamo Kyiv, AC Milan, Chelsea FC)
100 Zlatan Ibrahimović (AFC Ajax, Juventus, FC Internazionale Milano, FC Barcelona, AC Milan, Paris Saint-Germain)
99 Alessandro Nesta (SS Lazio, AC Milan)
99 Petr Čech (AC Sparta Praha, Chelsea FC)
98 Andrea Pirlo (FC Internazionale Milano, AC Milan, Juventus)
98 Edwin van der Sar (AFC Ajax, Juventus, Manchester United FC)
97 Guti (Real Madrid CF)
97 Javier Zanetti (FC Internazionale Milano)
96 Claude Makelele (FC Nantes, Real Madrid CF, Chelsea FC)
96 Cristiano Ronaldo (Manchester United FC, Real Madrid CF)
96 Frank Lampard (Chelsea FC)
No comments:
Post a Comment