Saturday, December 21, 2013

GUARDIOLA AWAFUNIKA AKINA MOURINHO KATIKA MSHAHARA

AKIWA mshindi wa mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa, matatu ya La Liga, mawili ya Copa del Rey piaa ana ajira mpya kwa mabingwa wa mataji matatu, Bayern Munich. 
Kiboko yao: Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola ndiye anayelipwa zaidi duniani

MAKOCHA WANAOLIPWA ZAIDI DUNIANI

1 Pep Guardiola, Bayern Munich, £14.8m
2 Jose Mourinho, Chelsea, £8.37m
3 Marcelo Lippi, Guangzhou, £8.34m
4 Arsene Wenger, Arsenal, £6.89m
5 Fabio Capello, Russia, £6.51m
6 Carlo Ancelotti, Real Madrid, £6.26m
7 David Moyes, Man United, £4.92m
8 Tata Martino, Barcelona, £4.5m
9 Jurgen Klopp, Borussia Dortmund, £3.59m
10 Manuel Pellegrini, Man City, £3.47m
11 Jorge Jesus, Benfica, £3.34m
12 Brendan Rodgers, Liverpool, £3.25m
13 Sam Allardyce, West Ham, £2.95m
13 Roy Hodgson, England, £2.95m
15 Roberto Mancini, Galatasaray, £2.92m
15 Rafa Benitez, Napoli, £2.92m
17 Luciano Spaletti, Zenit, £2.75m
18 Claudio Ranieri, Monaco, £2.5m
18 Laurent Blanc, PSG, £2.5m
18 Antonio Conte, Juventus, £2.5m
18 Cesare Prandelli, Italy, £2.5m
22 Massimiliano Allegri, Milan, £2.34m
23 Felipe Scolari, Brazil, £2.3m
24 Ottmar Hitzfeld, Switzerland, £2.17m
25 Mircea Lucescu, Shakhtar, £2.14m
26 Diego Simeone, Atletico Madrid, £2.09m
26 Harry Redknapp, QPR, £2.09m
26 Joachim Low, Germany, £2.09m
29 Walter Mazzarri, Inter Milan, £2m
30 Vecente del Bosque, Spain, £1.96m
Kwa yote hayo, hakuna ajabu Pep Guardiola ndiye kocha wa soka anayelipwa zaidi duniani, akipata kiasi cha Pauni Milioni 14.8 kwa mwaka. 
Huwezi amini, kocha wa timu inayosuasua, West Ham, Sam Allardyce anashika nafasi ya 13 katika orodha ya makocha wanaolipwa vizuri duniani, akiwa anapata Pauni Milioni 2.95 kwa mwaka na anawazidi Roberto Mancini wa Galatasaray, anayelipwa Pauni Milioni 2.92, Rafa Benitez wa Napoli Pauni Milioni 2.92 na analingana na kocha wa England, Roy Hodgson. 
Kwa mujibu wa orodha ya kitaalamu iliyochapishwa na Sporting Intelligence, inaonyesha kwamba katika orodha ya makocha 30 wanaolipwa zaidi duniani, wanane wanapiga kazi England, watano Italia, wanne Hispania, watatu Ujerumani na wawili Urusi. 
Katika makocha wanaolipwa zaidi kutoka England, Mreno Jose Mourinho anashika nafasi ya pili kwenye orodha ya dunia. 
Kocha huyo wa Chelsea analipwa kiasi cha Pauni Milioni 8.34 kwa mwaka Stamford Bridge, wakati Arsene Wenger wa Arsenal anayelipwa Pauni Milioni 6.89 anashuka nafasi ya nne.Orodha kamili iko hivi; 1 Pep Guardiola, Bayern Munich, £14.8m, 2 Jose Mourinho, Chelsea, £8.37m, 3 Marcelo Lippi, Guangzhou, £8.34m, 4 Arsene Wenger, Arsenal, £6.89m, 5 Fabio Capello, Russia, £6.51m, 6 Carlo Ancelotti, Real Madrid, £6.26m, 7 David Moyes, Man United, £4.92m. 8 Tata Martino, Barcelona, £4.5m.
Wengine ni namab 9 Jurgen Klopp, Borussia Dortmund, £3.59m, 10 Manuel Pellegrini, Man City, £3.47m, 11 Jorge Jesus, Benfica, £3.34m, 12 Brendan Rodgers, Liverpool, £3.25m, 13 Sam Allardyce, West Ham, £2.95m, 13 Roy Hodgson, England, £2.95m, 15 Roberto Mancini, Galatasaray, £2.92m, 15 Rafa Benitez, Napoli, £2.92m. 
17 Luciano Spaletti, Zenit, £2.75m, 18 Claudio Ranieri, Monaco, £2.5m, 18 Laurent Blanc, PSG, £2.5m, 18 Antonio Conte, Juventus, £2.5m, 18 Cesare Prandelli, Italy, £2.5m, 22 Massimiliano Allegri, Milan, £2.34m, 23 Felipe Scolari, Brazil, £2.3m, 24 Ottmar Hitzfeld, Switzerland, £2.17m, 25 Mircea Lucescu, Shakhtar, £2.14m.
26 Diego Simeone, Atletico Madrid, £2.09m, 26 Harry Redknapp, QPR, £2.09m, 26 Joachim Low, Germany, £2.09m, 29 Walter Mazzarri, Inter Milan, £2m, 30 Vecente del Bosque, Spain, £1.96m.
Not bad: David Moyes has seen a hefty wage increase since swapping Everton for Manchester United
Siyo mbaya: David Moyes amepanda mshahara tangu ahamie Manchester United kutoka Everton
Nice work: Fabio Capello earns a large wage packet from Russia for his role as national team coach
Kazi nzuri: Fabio Capello analipwa vizuri timu ya taifa ya Urusi
In the money: Sam Allardyce is 13th in Sporting Intelligence's list of best-paid bosses
Sam Allardyce anashika nafasi ya 13
Mega-rich: Manchester City manager Manuel Pellegrini is also paid hansomely at the Etihad club
Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini pia analipwa vizuri Etihad

No comments:

Post a Comment