Bondia
Mohamed Matumla kushoto akimwadhibu Nassibu Ramadhani wakati wa
mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika siku ya sikukuu ya krismas na
kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9 Matumla
alishinda kwa pointi mpambano huo na kuibuka na bodaboda picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia
Mohamed Matumla kushoto akipambana na Nassibu Ramadhani wakati wa
mpambano wao uliofanyika siku ya sikukuu ya krismas na kugombania
pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9 Matumla alishinda kwa
pointi mpambano huo na kuibuka na bodaboda picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia Lulu Kayage kushoto akipambana na Mariam Abdallah wakati wa mpambano wao wa kusherehekea sikukuu ya krismas kayage alishinda kwa k,o picha na www.superdboxingcoach. |
lulu akinyooshwa mkono juu baada ya kushinda |
l |
Bondia Lulu Kayage kushoto akipambana na Mariam Abdallah wakati wa mpambano wao wa kusherehekea sikukuu ya krismas kayage alishinda kwa k,o picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia
Hamis Ajari kushoto akipambana na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao
uriofanyika wakati wa sikukuu ya krismas cheka alishinda kwa point picha
na www.superdboxingcoach. |
Bondia
Sadiq Abdulazizi kushoto akipambana na Juma Fundi wakati wa mpambano
wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya krismas juma fundi alishinda kwa
point mpambano uho picha na www.superdboxingcoach. |
Baadhi ya mashabiki waliouhulia mpambano huo uliokuwa mkali na kutoa burudani ya aina yake kwa mashabiki nchin |
No comments:
Post a Comment