Bondia
Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao leo katika
ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam leo katikati ni promota wa mpambano huo kaike siraju Picha na www.superdboxingcoach.
|
Promota
kaike Siraju akiwainua juu mikono Bondia Mohamed Matumla kushoto na
Nassibu Ramadhani kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea pikipiki siku ya
sikukuu ya Xmasi Picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment