Kocha wa Yanga, Ernstus
Brands (kulia), akifuatilia pambano la Yanga na KMKM katika Uwanja wa
Taifa leo..mechi hiyo imemalizika kwa Yanga kupata ushindi wa mabao 3-2.
Benchi la Ufundi la timu ya KMKM ya Zanzibar.
David Luhende wa Yanga akiwania mpira.
Mshambuliaji wa Yanga, Reliants Lusajo akichuana na mchezaji wa KMKM, Mwinyi Ameir Makungu.
Beki
wa KMKM, Faki Ali Amad (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka mshambuliaji
wa pembeni wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa kirafiki uliofanyika
kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Msuva akichuana na Faki Ali Hamad.
Kipa wa Yanga Juma Kaseja akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mshambuliaji wa KMKM, Nassor Ali Omar akiruka juu kuwania mpira sambamba na Simon Msuva wa Yanga.
Mashabiki wa Yanga.
Kikosi cha Yanga.
No comments:
Post a Comment