WAJERUMANI
Per Mertesacker na Mesut Ozil 'waliwakiana' wakati wakitoka Uwanja wa
Etihad baada ya Arsenal kufungwa mabao 6-3 na Manchester City.
Beki
Mertesacker ndiye aliyeonekana kumuwakia Ozil - mmoja wa rafiki zake
wakubwa katika soka - na akamnyooshe kidole cha mkwara mzito kiungo huyo
mwishoni mwa mchezo.
Tena
usirudie tena: Per Mertesacker (kulia) akimuwekea mikwara Mesut Ozil
baada ya kipigo cha Arsenal cha 6-3 kutoka kwa Manchester City

Mkwara mzito: Mertesacker akiendelea kumfokea Ozil

Anaua soo: Hapa anawapigia makofi mashabiki akiwa na Jack Wilshere


Mertesacker akimchimba mikwara Ozil wakati wanatoka uwanjani

Hiki ndiko kilemeta balaa Arsenal
No comments:
Post a Comment