HATIMAYE KIUNGO TOM HUDDLESTONE ANYOA NYWELE ZAKE
Kiungo wa Hull City Tom Huddlestone
ametimiza ahadi yake ya kunyoa nywele zake iwapo angefunga bao baada
kukaa miaka miwili na nusu bila kufunga,kiungo huyo aliifungia timu yake
bao moja kwenye mchezo ambao timu yake iliifunga Fulham mabao 6-0.
No comments:
Post a Comment