Tuesday, January 7, 2014

KAKA ATIMIZA MABAO 100 MILAN

Leo hii kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A. kaka kabla ya mchezo wa leo alikuwa ameifungia Milan mabao 99.

No comments:

Post a Comment