Mshambuliaji
Lionel Messi kushoto usiku huu ametokea benchi na kufunga mabao mawili
katika ushindi wa 4-0 wa Barcelona dhidi ya Getafe Uwanja wa Camp Nou
katika mechi ya Kombe la Mfalme. Messi aliyekuwa majeruhi kwa muda
mrefu, alifunga katika dakika za 89 na 90 baada ya Cesc Fabregas
kutangulia kufunga katika dakika za nane na 62 kwa penalti.
|
No comments:
Post a Comment