MANCHESTER
City imeilaza mabao 6-0 Wes Ham United katika Nusu Fainali ya kwanza ya
Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Etihad.
Alvaro
Negredo amefunga mabao matatu katika dakika za 12, 26 na 49, kabla ya
Yaya Toure kufunga dakika ya 40, Edin Dzeko mawili dakika za 60 na 89.
Sasa
kocha Manuel Pellegrini na kikosi chake atakuwa kazi nyepesi katika
mchezo wa marudano Uwanja wa Upton Park wiki mbii zijazo
No comments:
Post a Comment