OLE GUNNAR SOLSKJAER KUINOA CARDIFF CITY RASMI
Klabu ya Cardiff City imemtangaza rasmi mshambuliaji wa zamani wa Manchester Utd Ole Gunnar Solskjaer kuwa meneja wao mpya.
Solskjaer ambaye ni raia wa Norway hapo
awali alikuwa kocha wa timu ya Molde aliyoiongoza kutwaa mataji mawili
ya ligi kuu ya Norway.
No comments:
Post a Comment