Monday, July 22, 2013
HEYNCKES AJITOA KWENYE MBIO ZA KUWA KOCHA WA BARCELONA
kocha mwenye mafanikio akiwa na the bavalian beyarn munich jupp heynckes hatimaye amejiondoa katika mbio za barcelona kusaka kocha atakae chukua nafasi ya tito vilanova baada ya kujiuzulu kutokana na uginjwa wa saratani ya koo.kocha huyo amesema kwamba si vizuri kwenda barcelona kufundisha ilihali nimetoka munich hata msimu mmoja haujapita ukifikiria pia timu ambayo pepe guadiola alitokea hapo na baadaye kuja kuchukua mikoba yake beryan munich.heynckes ameiwezesha the bavalian kunyakua mataji matatu ndani ya msimu mmoja yakiwemo champions league na bundesliga.
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment