Beki mahiri wa URA ya uganda joseph owino yupo karibuni kutua katia himaya ya wekundu wa msimbazi simba sports club baada ya kiwango chake kurudi kama zamani alipokuwa akiichezea simba. hii imekuja baada ya beki huyo mwishoni mwa wiki iliopita alionyesha cheche zake wakati timu yake alipokuja kucheza mechi za kimataifa za kirafiki zidi ya simba na yanga.
No comments:
Post a Comment