Saturday, July 20, 2013

SIMBA KUWATIMUA MAPROFESIONAL WANNE

club ya soka ya simba imebainisha kwamba itawaacha wachezaji wake walio kwenye majaribio kutoka nchi za nje kutokana na viwango vyao si vyakutisha . akizungumza na waandisha wa habari kocha mkuu wa club hiyo Abdallah king kibaden amesema kwamba  wachezaji hao watatemwa na kuchukuliwa wengine kutoka burundi na rwanda wachezaji hao ni asuman buyanza,samwel ssinkoom,kun ames,na felix kapou na kuwachukua kaze gilbert 'Demongo' utoka vital'o ya burundi na faustine usengimana wa ryon sport ya rwanda.

No comments:

Post a Comment