Monday, July 22, 2013

YANGA YATOA SARE DHIDI YA URA YA UGANDA

Pongezi ziende kwa jerison tegete alieifungia timu yake bao la kusawazisha mmnamo dakika za lala kwa buriani.URA ndio ilokuwa ya kwanza kuliona lango la yanga katika dakika ya 20 kipindi cha kwanza na kuongeza bao la pili dakika ya 58, na baadae yanga walicharuka na kuandika bao la kwanza kupitia kwa hamis kiza 'diego' baada ya kupokea pasi nzuri toka kwa haruna nionziama ,baadae yanga walicharuka tena na kusawazisha bao katika dakika ya 91 kupitia kwa tegete.
Wachezaji wa URA ya uganda wakishangilia baada ya kufunga bao la kwanza.

No comments:

Post a Comment