Wednesday, August 28, 2013

ARSENAL YAWEKA PAUNI MILLIN 10 KWA CABAYE

Kocha wa arsenal arsene wenger ametenga kitita cha pauni  million 10 ili kumngo'oa juan cabaye kutoka newcastle united. Lakini habari kutoka newcastle united zinasema kwamba cabaye anauzwa 20m na sio kiwango ambacho wenger anataka kuweka.

Kwa mujibu wa kocha wa timu hiyo alan pardew amesema kwamba wapo tayari kumuuza endapo arsenal watamuhitaji na tayari ameshabainisha kwamba tayari ameshatuma ofa kwa wigan ili amchukue kiungo wa timu hiyo Mccathy  kama mmbadal wa cabaye endapo ataenda arsenal.

No comments:

Post a Comment