Ligi kuu bara kuendelea tena leo kwa viwanja saba huku simba wakikutana na maafande wa jkt oljoro katika dimba la sheikh amri abeid arusha. ratiba kamili ni:
Mtibwa suger vs Kagera suger - manungu stadium.
Rhino rangers vs Azam fc- alli hassani mwinyi stadium.
Jkt ruvu vs Tanzania prisons - mabatini stadium
Mbeya city vs Ruvushooting- sokoine stadium
Mgambo jkt vs Ashant united- mkwakwani stadium
Jkt oljoro vs Simba sport club- sh. amri abeid stadium
Yanga vs coastal union- national stadium
No comments:
Post a Comment