Friday, August 9, 2013

BOLTON WAMNYAKUWA JAY SPEARING

Kiungo wa liverpool jay spearing leo amemwaga wino na kusaini mataba wa miaka minne utakaomfanya akae bolton hadi mwissho wa msimu wa ligi 2017-2018. kocha wa timu hiyo ya bolton  freeman anasema amevutiwa sana kiungo huyo na yuko katika mipango yake ya baadaye na ndio maana ameamua kumsajili moja kwa moja baada ya kukaa hapo kwa mkopo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

No comments:

Post a Comment