Friday, August 9, 2013

TUTA HAKIKIHA TUNAMSAJILI ROONEY MPAKA DAKIKA YA MWSHO-MOURINHO

Jose mourinho  amebainisha kwamba atapigana kufa na kupona hadi muda wa mwisho wa usajili ili kuhakikisha rooney anatua stanford bridge. hii imekuja baada ya chelsea kutupiliwa mbali ofa yao ya kwanza na sasa wanajipanga tena kuhakikiaha wanamnasa nyota huyo wa england.

No comments:

Post a Comment