Friday, August 9, 2013

PEREZ: KUTOA PAUND MILLION 100 KWA AJILI YA BALE IN KIASI KINGI

Raisi wa mabingwa wa zamani wa hispania na champions legue real madrid florento perez amebainisha kwamba kutoa kiasi cha paund million 100 ili kuvunja record ya cristiano ronaldo ni kingi mno kwa hiyo hado sasa kuna hati hati ya nyota huyo wa totenharm kuhamia kwa mabigwa hao ni vigumu kutokana na kiasi ambacho timu yake kina hitaji.

No comments:

Post a Comment