Tuesday, August 13, 2013

DOWNING ASAINI WESTHARM

Winga machachari wa liverpool hatimaye amejitia kitanzi kwenye club ya west harm aadaya kutoa kitita cha pauni millioni 14 kwa liverpool na kuchukua saini ya winga huyo.

No comments:

Post a Comment