Kiungo mahiri wa kibelgiji na timu ya everton ya uingereza hatimaye ameomba kuondoka baada ya manchester united kuongeza dau ya kuwachukua fellaiini na bekiwa kushoto wa timu hiyo leington baines kwa ada ya uhamisho wa pauni millioni 36 kwa wachezaji wote.
picha ya juu ni marouane felaini akiwa na kocha wake wa zamani moyes ambaye kwa sasa yuko man united na fellaini anapotaka kwenda na picha ya chini ni leington baines.
No comments:
Post a Comment