Friday, August 30, 2013

UJIO WA WILLIAN NA ETOO CHELSEA UNAWEZA KULETA UFANISI?






















ujio wa nyota wa kibra kibrazil na samwel etoo ambaye ni mzoefu katika soka kunaweza kuleta ufanisi katika kikosi hicho? hili ni swali ambalo kila mtu anajiuliza kwani sawa ni wachezaji wa zuri lakini hawana idea yeypte na ligi kuu ya uingereza.

Hii kwa kuwa ligi hii ni ngumu kwani wachezaji wangapi wamekuja pale lakini hakuna walichokifanya kama vile shevchenco aliyetoka  ac milan lakini hakuna alichokifanya.

Vile vile kwa wachezaji hawa wameng'ara katika mataifa ambayo ligi yake si ngumu sana ukilinganisha na uingereza ,ila chakuangalia ni kwamba etoo na willian ni wachezaji wazuri na huwa nyota wakati wakikutana na timu za uingereza nadhani watang;ara  na kuipeleka timuu hiyo katika kiwango kizuri.
Kwa upande mwingine etoo na willian wanaukaribu kwa kipindi cha mwaka kwani wanatoka clubu mija.
 samwel etoo akiioyesha jazi ya chelsea  mbele ya waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment