Friday, August 30, 2013

MATRI WA JUVE ATUA AC MILAN

Mshambuliaji hatari mwenye uchu wa mabao alexandra matri hatimaye ameshusha wino ndani ya clubu ya ac milan hapohapo italia. mshambuliaji huyo ameamua kuondoka juventas baada ya kuona nafasi yake finyu ya kucheza baada ya kuwasili mshambuliaji alietokea man city carlos tevez aliye saini mwaka huu kwa kiasiambacho juve ni kidogo ukilinganisha kiasi ambacho kimepata baada ya kumuuza matri ac milan kwai inasadikika ni zaidi ya euro millioni 30.

No comments:

Post a Comment