Kocha wa klabu ya chelsea jose mirinho ambainisha kwamba timu ya barcelona ya hispania inapoteza muda wa kumfikiria kumsajili david luiz. hii imkuja baada ya barcelon kutenga kitita cha euro mllion 25 ka ajili ya kumtwaa beki huyo mwenye asili ya brazil na ni tegemeomkatika timu ya taifa.
No comments:
Post a Comment