Kinda wa manchester united ambaye ni mshambuliaji wa kikosi B angelo henriquez amepelekwa kwa mkopo katika clubu ya real zaragoza nchini hispania. Kinda huyo raia wa chile ambaye ameshawahi kuifungia timu ya wakubwa katika mechi za kujiandaa na msimu mpya tayari yupo hisania na atakaa huko kwa mwaka mmoja.
No comments:
Post a Comment