Wednesday, August 28, 2013

TOTTENHAM YAWEKA DAU LA PAUNI 8M KWA CHRISTIAN ERIKSEN

Tottenham ya uingereza imetenga kitita cha pauni million 8 kwa ajili ya kumsaini winga na nyota wa ajax amsterdam ya uholanzi ili kuziba pengo la bale endapo akiondoka.

Taarifa hii ni ya leo asubuhi ambayo tottenham wanajitahidi kusaka mmbadala wa bale, lakini hata hivyo ajax wanataka kitita cha pauni million 15 ili kumwachia nyota huyo wa timu ya taifa ya denmark.

No comments:

Post a Comment