Wednesday, August 28, 2013

STEPHEN KESHI MATATANI FIFA

Kocha wa timu ya taifa ya nigeria sphen keshi  yupo matatani katika shirikisho la soka fifa baada ya kuonyesha ubaguzi kwa kocha wa malawi Tom saintfiel.

Kwa mujibu wa katiu mkuu wa shirikisho la soka la malawi bwana suzgo nyirenda amesema kwamba kocha huyo wa nigeria ametoa maneno ya ubaguzi na kashfa kwa kocha wa malawi amboyo hayatakiwi kwa mujibu wa fifa ni adhabu na wala hairuhusiwi kumbaguwa mtu wa aina yeyote.

Hii imekuja baada ya timu hizo mbili kujiandaa na mchezo wao wa kuuzu kombe la duni atakao pigwa hivi karibuni huko nigeria kaaka jiji la kalaba ambalo limelalamikiwa na shirikisho la malawi kuwa halina usalama
kwani lina machafuko ya mapigano kila mara.

No comments:

Post a Comment