Kiungona captain wa zamani wa tumu ya taifa ya Ghana michael essien hatimaye amerudishwa timu ya taifa ya ghana tayari kwa kuikabili zambia katika mchezo wa kufuzu kombe la dunia mwakani.
Pamoja na essien wengine ni kiungo aliyeichezea tiu hiyo katika kombe la dunia lililopita nchini afrika kusini prince boateng ambaye alishawahi kutangaza kustaafu kuchezea timu hiyokipindi cha kombe la mataifa ya afrika yaliyopita ;
Mwingine ni andre dede ayew amaye aliachwa tangu mwaka jana kaika kombe la mataifa ya afrika.Kwa mujibu wa kocha wa timu hiyo mzawa kwesi Appiah amesema kwanba amewarudisha wachezaji hao wakongwe ki mashindano ili kuongeza ufanisi katika kikosi hicho.
Vilevile kocha huyo maewaacha wachezaji sule muntari na jordan ayew katika kikosi hicho.
No comments:
Post a Comment