Tatizo la usajili bdliaikumba inhi yetu nasujui litaisha lini...!!.
Sakata la mchezaji machachari mrisho ngassa limeibuka tena hii ni baada ya jana yanga kupinga mchezaji huyo kufungiwa mechi sita na fani ya shilingi millioni 45 kuilipa simba baada ya kusaini yanga na huku akiwa na mkatabaa simba.
Kwa mujibu wa simba wanasema ngassa ni mchezaji wao na ndio maana wameliorodhesha jina lake kwenye list ya wachezaji lakini muda huohuo ngassa amesauna yanga. kutokana na swalahili simba wakakata rufaa mchezaji huyo asimamishwe kuichwzea yanga kwani tayari simba wanamkataba nae.
Lakini kuna vitu vingi ambavyo havieleweki kikawaida kwani ngassa kipindi anatoka azam alienda simba kwa mkopo lakini mkopo wenyewe si wakaida unaojulikana kwani simba waliilipa azam millioni 25 il kummiliki ngassa ambae alibakisha miezi tisa kumaliza mkataba wake ndani ya azam.
Na kwa mujibu wa TFF mchezaji haruhusiwi kuingia mkataba na clubu yeyote na hawataupokea mkataba huwo mpaka kipindi cha usajili kifike. je swali la kujiuliza ni kiongizi gana wa TFF aliye upitisha na kuupokea mkataba huo wa simba dhidi ya ngassa na kuithibitishia simba kwamba ngassa ni mchezaji wao halali?
na simba kupata kifua cha kudai kwamba ngassa wana mkataba nae?
Kutokana na hilo swala ni vyema kwanza ajulikane nani aliye upitisha mkataba wa simba kumiliki ngassa kwani yeye ndiye aliesababisha yote haya na kufikia ngassa kufungiwa na wenyewe TFF na inamaana hawajui katiba yao inavyosema? katika kipengele cha usajili?, kwa hiyo, yanga ,simba wote hawana makosa na mweye makosa ni huyu jamaa asiye jua soka linaendeshwaje.
No comments:
Post a Comment