Friday, August 9, 2013

MMILIKI WA LIVERPOO ASEMA NI UPUMBAVU KUMUUZA SUAREZ

Mmiliki wa liverpool henry gasly amesema kwamba kumuuza luis suarez ni upumbavu hasa kuwauzia arsenal na kusiitiza kwamba suarez hauzwi na vile vilabu vinavyo mwania wakae chonjo kwa hilo na wasifikirie kabisa kuhusu hilo kwani kwa mujibu wa kocha rodgers suarez bado yupo kwnye mipango yake japokuwa watu hawaridhiki na tabia yake.

No comments:

Post a Comment