Mwanamuziki mashuhuri anaejulikana kwa vibao vingi kama vile fanta wangu,na salima ambaye yuko gerezani kwa muda mrefu sasa papii kocha hatimaye ameandika barua kwa rais jakaya kikwete ili ampe msamaha wake ili apate kutoka gerezani. mwanamuziki huyo kipenzi cha watu ni miongoni mwa watu waliofungwa pamoja na baba yake na kaka yake kwa kosa la kuwabaka watoto.
Watanzania wote pamoja na mimi mwenyewe tumuombeeni dua kwa tunakosa ladha katika muziki wetu wa hapa tanzania.
No comments:
Post a Comment