Nyota wa tottenham gareth bale hatimaye jumatatu kuyambulishwa rasi . hayo yamesemwa na bodi ya usajili ya real madrid baada ya kukubaliana na spurs katika vipengele vyote.
Inasadikika masaa 24 yajayo bale atamwaga wino ndani ya real madrid na kuwa mchezaji rasmi wa timu hiyo.
Hata hivyo bale anatarajiwakujiunga na timu ya taifa ya wales baada ya kutambulishwa na madrid siku ya jumanne ili kujia ndaa na mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya maccedonia.
No comments:
Post a Comment