Wednesday, September 4, 2013
BARCLAYS PREMIER LEAGUE YATUMIA ZAIDI YA EURO 630M KWA USAJILI
Ligi kuu ya uingereza iniyojulikana kama barclays premier league katika msimu huu wa usajili uliomalizika juzi usiku ndani ya timu zinazoshiriki ligi hiyo zimetumia zaidi ya euro 630 million kwa jumla ya fedha zote zilizo yumiwa na timu hizo.Hesabu hiyo imetoka baada ya kufungwa dirisha la usajili juzi usiku na kuvunja record iliyowekwa mwaka 2012 zaidi ya euro 490 millioni. kwa mujibu wa bodi ya ligi hiyo imesema timu zilizotumia fedha nyingi nji pamoja na tottenham hotspurs, manchester city, chelsea,liverpool,arsenal,everton na nyinginezo.
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment