Timu ya taifa ya tanzania leo alfajir imesafiri kuelekea gambia katika mchezo utakaochezwa dhidi ya timu ya taifa ya gambia utakaochezwa mwishoni wa wiki hii.
Kwa mujibu wa msemaji wa shirikisho la soka la Tanzania Bw. Boniface Wambura amesema timu hiyo imeondoka leo kwa ndege ya shirika la ndege la Kenya wakiwa na wachezaji waliongezwa akina henry joseph, na jonas mkude na beki wa azam.
Huku timu hiyo ikiwakosa nyota wake wanaocheza soka la kulipwa nchini congo katia timu ya Tp Mazembe ambao ni Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kwa mujibu wa tumu hiyo kwamba wachezaji hao ni majeruhi.
Vilevile timu hiyo ya taifa stars itawakosa wachezaji wake wa kikoso cha kwanza ambao ni Salum Abubakar "sure boy",Athumani Iddi chuji, Aggrey Morris, John Bocco na Shomari Kapombe ambao ni majeruhi.

No comments:
Post a Comment