Wednesday, September 4, 2013

MANCHESTER UNITED WASAJILI KINDA KUTOKA FC ZURICH

Katika kukamilisha usajili ndai ya msimu wa joto manchester united wamefanikiwa tena kumsajili kinda mwenye umri wa miaka 17 kutoka fc zurich ya swtzetland saidy janko.

Hii ni baada jana yake kumsajili nyota kutoka everton fellaini na jana wamemsajili kinda huyo ambaye anacheza nafasi ya beki wa kulia.

Kwa taarifa kutoka clubuni hapo zinasema kwamba kinda huyo alionekana katika mechi za majaribio ambayo alikuja kufanya pamoja nawenzake na hatimaye kusajiliwa kwa paundi 700000.

No comments:

Post a Comment