Bondia anayetisha kwa sasa ndani ya Tanzania na Africa mashariki francis cheka jana alialikwa ndani ya bunge la jamhuri la Tanzania na wabunge wa bunge hilo.
Hii ni baada ya kumchapa bondia toka marekani phill william katika mchezo wa raundi 12 na kuchukuwa ubingwa wa dunia wa WBF katika uzito wa kati.

No comments:
Post a Comment