Ligi kuu ya zanzibar chini ya kinywaji cha grand malt imeanza jana visiwani hapo, mbapo katika mchezo wa ufunguzi iliwakutanisha mafunzo fc na kikokotoni fc.
Katika mchezo huo uliwakutanisha katika uwanja wa mao tsi toung ambapo timu ya mafunzo ilianza vema ligi hiyo ka kuitandika timu ya kikokotoni fc kwa jumla ya mabao 2-1 magoli ya mafunzo yalifungwa na Abdulhalim said.
LIgi hiyo inaendelea tena leo kwa kuwakutanisha wakongwe wa ligi hiyo timu ya soka ya malindi na polisi ya zanzibar.

No comments:
Post a Comment