Timu ya aandishi wa habari za michezo taswa fc, imepewa shilingi millioni 2 na aliyekua kiongozi ndani ya yanga sc na anayegombea nafasi katika kinyang'anyilo cha uchaguzi mkuu wa shirikisho la soka la Tanzania TFF Davids Mosha kupitia kampuni yake.
Timu hiyo inayojiandaa na safari ya kwenda Arusha katika michuano ya bonanza itakayofanyika jijini humo.Vilevile chama cha soka cha dar se salaam DRFA nacho kimetoa msaada wake wa kuisafirisha timu hiyo hadi Arusha ilikujiweka vizuri na bonanza hilo na hatimaye kuwa washindi.

No comments:
Post a Comment