Monday, September 9, 2013

BONUCCI:" GILARDINO ALITAKA KUJIUNGA NA JUVENTUS"

Beki mahiri wa clubu ya juventus ya italia leonardo bonucci amesema kwamba rafiki yake mpenzi anayechezea clubu ya genoa alberto gilrdino alimwambia kwamba anataka kuhamia juventus.

Hayo alisema baada ya kuelezea jinsi ulivyokuwa wa kimataifa ambapo italy ilishinda . na kumuelezea mchezaji mwenzake katika timu hiyo kwamba alijitahidi sana ili kufanikisha uhamisho wake kuja juventus akitokea genoa lakini haikuwezekana, na kuongeza kwamba ni mshambuliaji mzuri na anweza kulenga goli ipasavyo pindi anapopata nafasi..

Alberto Gilardino anamkataba na timu ya genoa na unatarajiwa kuisha mwaka 2016

No comments:

Post a Comment