Monday, September 9, 2013

RONALDO NA RIBERY WATABIRIWA MAZURI BALLON D'OR

GWIJi la soka la ufaransa zinedine zidane zizzou amewatabiria mazuri katoka tuzo za mwa soka bora wa dunia mwaka huu.

Zidane amesema kwamba atafurahi sana kama akiona ribery au cristiano ronaldo kuchuana vikali katika nafasi mbili za juu.

Hii ni kwa sababu ya uwezo wa wachezaji hao kwa sasa kutokana na ribery kuchukua tuzo ya mwana soka bora wa ulaya baada ya kusshinda kombe la eufa, vilevile kwa ronaldo anasema yupo kwenye kiwangomkizuri kwa sasa na hatarajii hata kidogo kuchukua tena messi aliyeshikiri tuzo hiyo hadi hivi sasa kwa mara ya nne .

No comments:

Post a Comment