Monday, September 9, 2013

MOYES AFANYA MAZUNGUMZO NA BENTEKE

Kocha na menager wa timu ya manchester united ya england david moyes hatiye ameanza mazungumzo ya awali na nyota wa timu ya taifa ya ubelgiji na clubu ya aston villa ya england cristian benteke.

Moyes amesema hayo baada ya kushuhudia nyota huyo na mpachika mabao hatari kwa sasa katika mechi ya kimataifa kati ya scotland na belgium ilipomalizika kwa belgium kushinda bao 2-0.

Aliongeza kwa kusema kwamba ni vizuri kumsajili mchezaji kama huyu kwa uwa hajui hatma ya rooney clubuni hapo, na inasemekana kwamba january mwakani anatua old trafford.

No comments:

Post a Comment