Chelsea ya england imekamilisha dili la kumsajili nyota kutoka fc porto ya ureno muda mchache uliopita kwa ajili ya kuimalisha kikosi chao katika siu za karibuni.
Kwa mujibu wa bodi ya usajili ya timu hiyo tayari imekamilisha usajili wa nyota huyo kutoka ghana na wamekamilisha swala lao la kumpeleka kucheza kwa mkopo katika clubu ya vitesse.
No comments:
Post a Comment