Monday, September 2, 2013

SHOMARI KAPOMBE AKATAZWA KUTEMBEA UFARANSA

Kijana mwenye kipaja kutoka tanzania anaechezea clubu ya as cannes ya ufaransa ambayo inashiriki ligi daraja la nne, amekazwa kutembea ndaji ya nchi ya ufaransa ili kuepusha matatizo juu yake.

Kwa mujibu ya bodi ya timu hiyo imewakataza wachezaji wote kutembea bila ya mpangilio wowote na kwenda kwenye kumbi za starehe ili kujiweka vzuri kimazoezi na kuwa kimashindano muda wote.

Picha ya juu ni shomari kapombe aliye zungushiwa alama ya blue akiwajibika katika kwenye klabu yake.

No comments:

Post a Comment