Mchezaji wa timu yataifa ya wales na clubu ya cardiff city craig bellamy hatimaye ametangaza nia yake ya kustaafu soka baada ya kumalizika msimuu huu wa ligi kuu ya england.
Nyota huyo mtukutu aliyewahi kuzichezea timu za man city, liverpoolhivi karibuni amesema kwamba sasa ni muda wake wa kustaafu soka na kufanya mambo mengine.
Ameongeza kusema kwamba kwa sasa anahisi hamu ya kucheza soka inaisha kwake awapo uwanjani na hana budi kustaafu na ameweka bayana kwamba mwisho wa msimuu huu ndio mwisho wa maisha yake ya soka.

No comments:
Post a Comment