Monday, September 9, 2013

INIESTA ATANGAZA KUTAKA KUONGEZA MKATABA NDANI YA BARCELONA

Kiungo hatari wa barcelona na timu ya taifa ya hispania andres iniesta hatimaye ametangaza nia yake ya kuongeza mkataba na timu yake ya sasa ya barcelona.

Akizungumza jana mbele ya waandishi wa habari raisi wa timu hiyo sandro rosell amesema kwamba mchezaji huyo yu tayari kuongeza mkataba  wa kuichezea timu hiyo baada ya mkataba wake wa sasa kumalizika mwaka 2015.

Iniesta aliongeza kwamba anafuraha kuwa timu hiyo katika maisha yake ya soka na hatarajii kuiacha kwa sasa kwa sababu anaipenda na kuithamini.

No comments:

Post a Comment