Kiungo wa timu ya taifa ya spain na clubu ya man city david silva hatimaye kuikosa mechi ya kirafiki dhidi ya chile kutokana na kuumia misuli ya mguu wa kulia.
kwa mujibu wa daktari wa timu hiyo amethibitisha hivyo na vilevile mchezaji huyo anatarajiwa kuikosa mechi ya ligi kuu dhidi ya stoke city.
Mechi hiyo itakayochezwa jumaa nne na kutarajiwa kuanza kwa golikipa wa barcelona victo valdes badala ya cassilas.

No comments:
Post a Comment