Tuesday, September 10, 2013

WANAMICHEZO WAKITANZANIA WAKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA

Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya soka ya simba joseph kaniki golota na mkwanda matumla wamekatwa na madawa ya kulevya nchini ethiopia.

Kutokana na swala hilo limekuwa gumzo nchilni tanzania kwa sasa na baada ya kila kukicha watu kukamatwa nchi mbalimbali wakiwa na madawa hayo na juzi tu chini itali kulikamatwa meli iliosajiliwa tanzania na kukamatwa na biashara hiyo hatimaye sasa wauzaji wa vitu hivyo mungu anawaumbua.

Kwa mujibu wa tarifa kutoka nchini humo wanamichezo hao wali kamatwa tarehe 31 augost mwaka huu katika uwanja wa ndege wa bole mjini addis ababa wakiwa tayari kupanda ndege ya shirika la ndege la ehtiopia kuelekea paris ufaransa.

Hayo yamethibitishwa pia na kaimu balozi nchini humo Bw shelukindo na wanashikiriwa na polisi kwa ukaguzi zaidi kwa masuala ya kosa za jinai


No comments:

Post a Comment